Listen

Description

Fahamu aina ya Uzima na miasha uliyopokea baada Kuzaliwa mara ya pili! Ni maisha ya kiungu, ni uzima wa milele, uzima wa aina ya Mungu!
Baada ya kufahamu hili, sasa unaweza kutembea kwenye Kweli hii, kwenye Uhalisi huu na utaona matokeo ya ajabu na kipekee.
Hii ni rhapsodi ya Uhakika toleo la watu wazima, pata nakala yako Leo kwa rahisi kabisa. Wasiliana nasi kwa namba hizi: 0736000999.