Listen

Description

Yeye asiye kusanya na sisi yupo kinyume nasi! Vita hii juu ya nafsi za watu! Mungu hataki hata Mmoja apotee bali wote wafikie toba. Tumia silaha ya maombezi kila mara upajianda kwenda kwenye uinjilisti.
Sisi tumeshinda na zaidi ya kushinda.

Kama wewe ni teenager Hakikisha unapata biblia hii mahususi kwa ajili yako, itakayo kufanya upende kusoma neno la Mungu kila siku na kuishi katika Nuru yake. Unaweza kuweka order Yako Leo!
Nakala Moja ni shilingi Elfu Arobaini na Tano tu. (TZS.45,000/-).