Listen

Description

Fahamu silaha uliyopewa na Mungu kwa ajili ya kujikinga na mashubulizi ya adui. 

Usipojua namna ya kutumia silaha hii utakuwa mhanga katika maisha wakati sio kusudi la Mungu kwa ajili yako.

Unaweza kupakua nakala ya rhapsodi hii kwa mwezi mzima kupitia link hii.