Uzima wa milele, uzima wa aina ya Mungu ni matokeo ya kufufuka kwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Jifunze zaidi kuhusu umuhimu wa ufufuo na matokeo yake katika maisha yetu. Hii rhapsodi ya Januari 4, 2024.
Imeandikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome na imesomwa na Amedeus Raphael.