Rhapsodi ya Uhakika - Nov 28, 2020.
Mimi ni chombo kimbebacho Mungu; Kristo
ndani yangu ni utukufu uliotambulika, ushindi
uliohakikishwa, na usitawi uliothibitishwa. Hakuna
hofu wala kuchanganyikiwa maishani mwangu.
Bila kujali mitihani, majaribu ama changamoto
zinazoweza kuja kinyume na mimi, mimi ni mshndi
na kinara maishani. Haleluya!