Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Wewe ni mwana familia wa Mungu.
Wewe ni mwana ukoo wa wazee wa Imani, wa mitume na manabii! Wewe ni mzao mteule, kuhani na mfalme!
Jione kama Mungu anavyokuona!
Jione katika ukuu na ubora!