Rhapsodi ya Uhakika - Nov 12, 2020.
Mimi ni utukufu wa Mungu! Ninaonyesha na utukufu—Anaishi ndani yangu katika utimilifu Wake wote. Kupitia kujifunza na kulitafakari Neno, daima ninabadilishwa kutoka utukufu hata utukufu. Asifiwe utukufu—Anaishi ndani yangu katika utimilifu Wake wote. Kupitia kujifunza na kulitafakari Neno, daima ninabadilishwa kutoka utukufu hata utukufu. Asifiwe Mungu!