Listen

Description

Wewe ni mzao mteule, kuhani wa kifalme. Wewe ni Nuru ya Ulimwengu, ni tawi la mzabibu lizaalo Sana.
Fahamu Mahali ulipo sasa ndani ya Ufalme wa Mwana wa pendo la Mungu.
Elewa Kweli hii na tembea katika Nuru yake.