Listen

Description

Wewe sio wa kawaida, Bwana Yesu amkuzungushia radhi kama ngao.
Wewe umependelewa sana, umepata kibali mbele za Mungu na wanadamu. Tembea kwenye Kweli hii kila siku.