Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika, Nov 22, 2020.

Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu (1 Petro 2:9).

SALA

Ninakushukuru mpendwa Bwana kwa kunitoa gizani kuingia katika Ufalme wa Mwana wa pendo lako, ambamo ninatawala kwa neema kupitia haki, na kuufurahia uhuru tukufu wa wana wa Mungu. Wewe ni nuru ya maisha yangu, ambayo ninaitumia kujielekezea katika njia yangu kiubora katika ushindi, utawala, na mafanikio, katika Jina la Yesu. Amina.