Kitabu kimeandikwa na Mch. Chris Oyakhilome na Kimefanyiwa mapitio kwa njia ya Sauti na Amedeus D.R.
Kimegawanyika katika sura 8 na kinaanza na Utangulizi unaitwa watu wa Unabii.
Utangulizi - Watu wa Unabiii
- Utabiri na Kutamka Kabla ya Jambo kutukia.
- Bonde la Mifupa Mikavu
- Nyinyi Ndinyi Miungu
- Wewe ni Nabii wa Maisha Yako
- Ongoza Mkondo wa Maisha yako kwa Kinywa Chako
- Nini unapaswa kufanya na Unabii?
- Maongezi yako ni Mustakhabali wako
- Chukua hatua