Listen

Description

ROR Oct 6, 2020.

Baada ya mambo hayo neno la Bwana likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, MIMI NI NGAO YAKO, NA THAWABU YAKO KUBWA SANA 

Mwanzo 15:1

            > Mungu ni urithi wako, fungu lako, Ngao yako, tambua hili na tembea katika maarifa ya kweli hii.

Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome.  Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote.  Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.

pakua rhapsodi app leo kupitia link hii. 

https://t.co/GFr1tICObJ

Jiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:

Rhapsody Influencer Network 

https://bit.ly/2CnQ28u