Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika, Dec 6, 2020.


Mimi niko kwenye dunia, lakini mimi si wa dunia. Kwa hiyo, ninawaza, ninaongea, na kutenda tofauti na maisha ya dunia yalivyo. Nimetakaswa na Roho Mtakatifu, nikitengwa na Mungu kwa ajili ya kwa ajili ya matumizi matakatifu, yasiyo na mawaa. Ninatawala juu ya dhambi na kazi zake zotemagonjwa, udhaifu, umaskini, kifo nk. Amin.