Pro 4:18 Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu.
hii ndio inapaswa kuwa safari ya maisha yako kwenye kila nyanja ikiwemo na afya yako pia. Endelea kutumia kinywa chako kutunza afya yako.