Listen

Description

Mungu alituambia tuombe kwa sababu anataka anatujali na anataka kujibu na kutupa haja za mioyo yetu. Bainisha haja yako kila mara unapokuwa unamwomba Baba Mungu kupitia jina la Bwana Yesu.
Hii ni Rhapsodi ya Uhakika toleo la wasomaji wa awali, Januari 15, 2024.