Je, jumla ya Shauku Yako ipo kwenye vitu gani!; Ipo kwenye Kazi yako, familia yako, fedha zako, afya yako, kesho yako au kwenye safari yako ya Imani!?
Kwa nini unaishi au uishi wa ajili ya nani au kwa ajili nini!?
Jaribu kutafakari maswali haya uposikiliza episode hii!
Rhapsodi ya Uhakika toleo la Januari 20, 2024.