Listen

Description

Elewa wajibu wako ndani ya Mungu.
Umeitwa kuzitangaza fadhili za Mungu kila mahali.
Umeitwa kumwakilisha yeye kwenye ulimwengu wako.
Huu ni wajibu wako kiiungu.