Look for any podcast host, guest or anyone

Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika - Nov 13, 2020


“Kwangu mimi, ingawa mimi ndiye niliye mdogo kabisa kati ya watakatifu wote (watu wa Mungu waliowekwa wakfu), neema hii (kibali, upendeleo) niliopewa na kuaminiwa: kutangaza kwa Mataifa mali (isiyo na mipaka, usiyopimika, usiyo na hesabu, isiyohesabika, na isiyo na mwisho) ya utajiriwa Kristo usio na ukomo [utajiri ambao hakuna mwanadamu anaeweza kuuchunguza].”