Rhapsodi ya Uhakika, Oct 30, 2020.
Wewe ni mbebaji wa halisia za milele. Unapotokezea, uzima hudhihirika. Unapowagusa wagonjwa na walioonewa, uzima wa ndani yako unahamishiwa na kuingizwa ndani yao, ukiwaletea utimilifu na ukamilifu. Ndio maana Yesu akatuamuru katika Mathayo 10:8, ”Ponyeni wagonjwa, watakaseni wakoma, wainueni wafu, na mkawatimue pepo.”