Rhapsodi ya Uhakika - Oct 18, 2020.
1Co 3:21 Basi, mtu ye yote na asijisifie wanadamu. Kwa maana vyote ni vyenu; 1Co 3:22 kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu; 1Co 3:23 nanyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.