Injili ndio Nuru ya kufungua macho Yao.
Wanavyozidi kuisikia injili ndivyo watakavyozidi kutembea kwenye Nuru na kumfahamu zaidi Mungu na mwanawe Yesu Kristo.
Endeleza kampeni ya kusambaza injili kila Mahali, fumbua macho ya teenagers wote Tanzania.
Jipatie nakala yako ya Teenagers Devotional Bible kwa gharama ya sh.50,000!
Itakubariki sana .