Rhapsodi ya Uhakika - Oct 13, 2020.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika (Yohana 1:1-3).
Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.
pakua rhapsodi app leo kupitia link hii.
https://t.co/GFr1tICObJ
Jiunge na mtandao wa washawishi wa Rhapsodi Ulimwenguni kote kwa kubofya linki hapo chini:
Rhapsody Influencer Network
https://bit.ly/2CnQ28u