Listen

Description

Rhapsodi ya Uhakika - Oct 20, 2020

Mpenzi Bwana Yesu, utukufu, heshima na ukuu wote ni Wako. Wewe ni Mfalme wa utukufu, furaha ya mbinguni, na nyota ing’aayo ya asubuhi! Wewe ni udhihirisho wa utukufu wa Mungu, uzuri wa Uungu, na taswira kamilifu ya Nafsi ya Baba. Ninakuabudu na kukuheshimu Mwokozi wa thamani, kwa maana hayupo wa kufanana na Wewe! Ufalme Wako na ukatawale nchini, na kusimama daima katika mioyo ya watu wote. Amina.