Listen

Description

Kuna maisha zaidi ya haya! Hapo Dunia tunapita, kuna zama za Muda mrefu zaidi ya hizi za wakati na ziko mbioni kuanza. Fahamu Kweli hii na Anza kujipanga kwa ajili ya zama hizi kwa maana halisi na dhahiri! Usiishi kama hapa ndio mwisho, Hakika hapa sio mwisho wa maisha!

Tunatarajia kusambaza nakala hizi za rhapsodi pale mji wa moshi wa mbio za marathon, kuwa sehemu ya kampeni hii kubwa moshi nzima.