Katika somo hili Mwalimu anatufundisha nguvu na mamlaka ambayo Mkristo amepewa baada ya kumwamini Yesu Kristo. Katika podcast hii Mwalimu anatufundsiha namna ya kutumia mamlaka yetu katika kushinda changamoto za maisha, mazingira yetu ya kila siku pamoja na kustiisha chini kila sila ya adui.