Listen

Description

Hii ni podcast ya kwanza Tanzania kukuletea uhalisia wa kazi na maisha ya wafanyakazi Tanzania, kazi za kila siku wanazofanya, changamoto wanazopitia na jinsi wanavyoendana na mabadiliko ya mazingira ya kazi na teknolojia.