Listen

Description

Ungana na Zablon Nyonje na Mwalimu Yusuf kwenye kipindi cha Yesu Ndiye Njia wanapofafanua kwa upana kuhusu "Maombi", maana yake halisi na jinsi ya kuomba kwa kweli.