Ungana na Zablon Nyonje na Mwalimu Yusuf kwenye kipindi cha Yesu Ndiye Njia wanapojadili kuhusu "Kusikia Sauti ya Mungu" na jinsi Anavyonena nasi.