Ungana na Zablon Nyonje na Mwalimu Yusuf kwenye kipindi cha Yesu Ndiye Njia wanapojadili kuhusu "Siku ya Valentine" na upendo wa Mungu kwetu.