Listen

Description

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 14/4 ni Jumapili ya 2 baada ya Paska, ukurasa 110 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo podi tunafundisha wazo la Mchungaji Mwema, yaani Yesu aliye mchungaji wetu mwema. Tunatumia vifungu vitatu: Ezekieli 34, Yohana 10, Luka 15:3–7.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com