Listen

Description

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 9/6 ni Jumapili ya 3 baada ya Pentekoste, ukurasa 118 katika kitabu cha sala. Tutafafanua Mathayo 22:1–14 na Wazo Kuu la Utii wa Neno.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com