Listen

Description

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 11, katika kifungu Gal 5:13–26. Hapa Paulo anafundisha juu ya kuenenda kwa Roho na sio mwili na kutumikianeni kwa upendo, akionyesha ndio namna ya kuwa wana huru wa Mungu kwa neema.

karibu.

Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com