Mambo tunayosikia katika neno ni pamoja na
* kushirikisha mambo mema na walimu
* kupanda na kuvuna kwa roho na sio mwili
* kutenda mema kwa watu wote
* jinsi ambavyo hofu na tamaa iliwaharibu walimu waongo na onyo kwetu
* tofauti ya Paul aliyeishi kwa Kristo
karibuni sana.
Mchungaji Mmasa. Mwalimu Maiki.