Listen

Description

Wagalatia (8): Gal 4:8–20

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 8, katika kifungu Gal 4:8–20. Hapa Paulo anaeleza zaidi uhuru wetu tukiwa wana wa Mungu.

karibu.

Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com