Listen

Description

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 9, katika kifungu Gal 4:21–31. Hapa Paulo anaonyesha kuwa sheria nayo inafundisha juu ya uhuru wa watoto wa Mungu walio wa ahadi na roho na imani.

karibu.

Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com