Listen

Description

Katika podi hii, Mwalimu Mike yuko mwenyewe, na anatoa mafundisho juu ya Yesu na huduma yake. Hasa inahusu moyo wa huruma akiwa anatafuta na kuwaita wenye dhambi, na inahusua pia uzima tele, maana Yesu anawakomboa kweli, anawaponya kiroho, na ni mchungaji mwema. Karibu tujifunze.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com