Habari mwanamafanikio?
Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA cha kuuanza mwaka mpya wa mafanikio 2021/2022.
Kwenye kipindi hiki nimeeleza kwa kina mwongozo wetu ambao tutakwenda nao kwa mwaka huo mzima wa mafanikio.
Nimetoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali, ikiwepo lengo la thamani ya utajiri, kwa kuzidisha mara mbili ya ile thamani uliyonayo sasa.
Pia kumekuwa na michango mizuri ya wanamafanikio wengine walioshiriki kipindi moja kwa moja.
Mwisho kabisa nimejibu maswali ya wanamafanikio waliyouliza kuhusu mambo mbalimbali.
Karibu sana usikilize kipindi hiki ili upate uelewa mzuri way ale tunayokwenda kufanyika kazi.
Kocha.
Bonyeza kusikiliza kipindi.