Listen

Description

Katika maisha ya binadamu mazoezi yana mchango mkubwa katika kuimarisha afya mwilini. Kila mtu huhitaji kufanya mazoezi angaa mara moja kwa siku. Otieno Ogeda ni mkufunzi wa mazoezi ya viungo vya mwili, kazi ambayo ameifanya kwa miaka mingi. Katika podcast hii, mwanahabari wetu Stephen Mukangai anazungumza na Otieno Ogeda maarufu, Zoezi Maisha kuhusu suala hili.