Listen

Description

Jenerali Ulimwengu katika ziara yake ya uzinduzi wa kitabu ya Rai Ya Jenerali, ameendelea kuzungumzia maswala mengi ikiwemo mchakato wa Katiba mpya na kwa nini ni wa muhimu.

Katika mazungumzo hayo anazungumzia nafasi ya mwananchi katika uendeshaji wa nchi.