Listen

Description

Tumefanya mahojiano na mwanasiasa mashuhuri Zanzibar, ameongelea mengi. Kwanza kuhusu hali yake ya kiafya, maoni yake kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar, mtazamo wake kuhusu uongozi wa Rais Hussein Mwinyi na mengineyo mengi