Listen

Description

Katika mafundisho haya tunaelekea kwenye siri ya kuingia maisha ya juu kwa kubadili ubora wa fikra zako.
Maisha yako ni tafsiri ya kile kinachoendelea ndani ya akili yako.
Mabadiliko ya nje huanza pale unapobadili namna unavyowaza na kufikiri.
Akili yako haina kikomo, ina uwezo wa kukuundia maisha unayotamani.
Huu ndio mwaliko wa kutumia fikra zako kwa makusudi ili kuinuka kwenye kiwango cha juu.