Maisha yako lazima yalete IMPACT popote unapoenda. Wewe sio wa Kawaida, kumbuka wewe ni MZAO WA IBRAHIM kila unapoenda UNABADILISHA MAJIRA lazima kuwe na KABLA NA BAADA ya ujio wako na kwasababu wewe ni mzao we Ibrahimu kila uendako utapafanya pawe bora kuliko ulivyopakuta. Kila utayekutana nae atakua bora zaidi BAADA ya kukutana na wewe. You are ABRAHAM’S SEED