Kwenye series hii fupi ya utajifunza neno la Mungu litalokuweka huru kabisa na hofu. Utatembea kwenye ushindi uliotiwa kutembea. Unyonge na hofu vitakua mbali nawe. Njoo pamoja nami kwenye neno la Mungu na hakika utarudi na shuhuda.
Want to check another podcast?
Enter the RSS feed of a podcast, and see all of their public statistics.