Listen

Description

THE FAVOR FACTOR
(UPENDELEO/KIBALI)

Kama mtoto wa Mungu wewe ni mtoto wa Kibali na Upendeleo

Maisaha yako ni simulizi ya Kibali na Upendeleo

Umeitiwa kuishi Maisha yenye Upendele usio na Ustaarabu

Favor your Advantage, Jifunze Zaidi kwenye somo hili: