Listen

Description

Katika mambo matatu muhimu yatayoleta utofauti kwenye maisha yako ni Ubora wa Fikra zako (How do you use your Mind), Ubora wa Maneno yako (How you use your Mouth), Ubora wa Muda wa Muda wako (How do you use your time). Kwenye sehemu ya pili ya somo hili tunaangalia mambo haya mawili ya Maneno na Muda. Sikiliza na Maisha yako kamwe hayatabaki kama yalivyokua.