Listen

Description

Karibu kwenye mafundisho yenye nguvu Udhihirisho Pt. 1.
Katika somo hili, tunajifunza maana ya kuenenda katika kweli na jinsi ya kuiishi na kuidhihirisha kweli ya Neno la Mungu katika maisha yetu ya kila siku.

Utagundua:

Somo hili litakujenga kiroho, litakutia nguvu ya imani, na litakusaidia kuishi kile Mungu amesema kuhusu maisha yako.