Send us a text
Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka. Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote.#msasa #hanscana #kubeti