Listen

Description

Fahamu Matumizi ya Akili Unde (AI) Katika Zama za Kidijitiā€ kupitia ufafanuzi uliotolewa na Mtaalamu wa Masuala ya Akili Unde (Artificial Intelligence - AI) na Mwanzilishi Mkuu wa Mfumo wa AI wa Ghala Bw. Kalebu Gwalugano katika mahojiano aliyofanya na TCRA

Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz

#NiRahisiSana!