Listen

Description

Mgomo wa wanyanyikazi wa  wa kibaruwa (Casual Workers) wa  serikali ya county ya Migori umeingia siku  yake  ya tatu  huku wafanyikazi hao wakiendelea kudai mishahara yao.