Listen

Description

Leo tutazungumza juu ya kutoka na kushirikiana, na hapa ninazumza na Developers, Programmers, Coders na hata jina lolote zuri unalolipenda katika kazi yako ya programming. Sikiliza namna gani unaweza toka chumbani ulikojifungia ukifanya programming, na ukashirikiane na wengine ili kuhakisha mradi wako unaweza leta maana si kwako tuu bali na kwa wengine wataopendezwa kuendeleza mradi wako.

Host: Yesaya R. Athuman